Wadhamini Miss Utalii Wakwamisha Shindano
Baadhi ya washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 FAINALI za Taifa za Mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13, zilizopangwa kufanyika Machi 17, 2013 katika Ukumbi wa Dar Live Dar es Salaam,...
View ArticleWashiriki wa Shindano la Moro Carnival ‘Wawasha’ Moto Sabasaba
Majaji wa Shindano la Moro Carnival lililofanyika katika uwanja wa sabasaba, kutoka kulia ni Frado John, Msanii wa Muziki wa bongofleva Seleman Msindi ‘Afande Sele’, Wiliam Matajiri pamoja na mwanadada...
View ArticleIBF Yaleta Hamasa Namibia
Mpambano wa kutafuta Mfalme wa uzito wa Bantam wa Kimataifa (IBF International Bantamweight Title) kati ya mabondia Immaneul Naidjala a.ka. Prince kutoka nchini Namibia and bondia mwenzake Lesley...
View ArticleThe Guinness Football Challenge Kuanza Wiki Hii
Baadhi ya washiriki wa ‘The Guinness Football Challenge’ *KIPINDI CHA KWANZA CHA MCHEZO HUU WA KUSISIMUA WAANZA TAREHE 20 MWEZI HUU* WAKATI umewadia tena wa kushuhudia mapambano katika kipindi...
View ArticleBondia Herbert Quartey na Albinus Felesianu Kuzichapa Machi 29
Bondia Herbert Quartey na Albinus Felesianu Kuzichapa Machi 29 MABONDIA kinda Herbert Quartey kutoka Ghana na Albinus Felesianu wa Namibia wanatarajia kuwania Ubingwa wa dunia kwa vijana katika uzito...
View ArticleWebsite ya Ngoma Africa Band ‘FFU’ Yaanza Kurusha Muziki Hewani
Bendi ya FFU WEBSITE www.ngoma-africa.com ya Ngoma Africa Band au maarufu kama ‘FFU’ imeanza tena kurusha muziki hewani, baada ya marekebisho machache yanayoendelea kufanywa ili kubadili sura ya...
View ArticleTFF, Serikali Waipongeza Taifa Stars, Mechi Yavuna Mil 226/-
Rais wa TFF, Leodger Tenga MECHI ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Morocco (Lions of the Atlas) iliyochezwa jana (Machi 24 mwaka huu) na Stars kuibuka na ushindi wa mabao...
View ArticleTFF ‘Yawatosa’ Mashabiki Simba, Yaupinga Mkutano Wao
TFF ‘Yawatosa’ Mashabiki Simba, Yaupinga Mkutano Wao MKUTANO Mkuu wa Dharura ulioitishwa na wanachama wa Simba, Machi 17 mwaka huu na kuuondoa uongozi wa klabu hiyo si halali kwa vile haukufuata...
View ArticleMeya Jerry Silaa Awakaribisha Miss Utalii Tanzania 2012/13
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika Picha ya pamoja na Muheshimiwa Meya wa Manispaa Jerry SilaaWashiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Picha ya PamojaWashiriki...
View ArticleBondia Kido Amtaka Tena Mchumiatumbo
Bondia, Ramathan Kido BONDIA mbavu nene Ramadhan Kido anataka tena kuzichapa na mwenzake Alphonce Mchumiatumbo warudiane baada ya pambano lao la mwanzo lilofanyika uwanja taifa kuchapwa amepania kulipa...
View ArticleKenya Yapigania Nafasi ya Ushindi Mashindano ya Guinness Football Challenge
Washindi wa kipindi cha pili cha Guinness Football Challenge, Kepha Kimani kutoka Thika Kenya (kushoto) na Francis Ngigi kutoka Nairobi Kenya (kulia) katika picha ya pamoja na watangazaji wa kipindi...
View ArticleBigright Promotion na Mikakati ya Kukuza Bondia
Kiongozi wa Bigright Promotion, Ibrahim Kamwe KAMPUNI changa ya Bigright Promotion inaanzisha mkakati wa kuwapiganisha mabondia kuwania mikanda au kutetea mikanda yao isipotee. Taarifa hiyo imetolewa...
View ArticleWarembo Fainali za Miss Utalii Tanzania Washindania Tuzo
Mshindi wa Tuzo ya Media ya Awards kutoka Mkoa wa Arusha (katikati) akiwa na wenzake baada ya kutangazwa mrembo wa Vyombo vya Habari vya SJMC Radio, Tv na Magazeti, hafla ambayo imefanyika kwenye ofisi...
View ArticleMshindi wa Pambano la Omar na Madilu Kucheza Uphilipino
Mchezo-wa-Ngumi-Tanzania MSHINDI kati ya mabondia ya Issa Omar (peche boy) na Shaban Madilu wanaotarajia kucheza Aprili 7 jijini Dar es Salaam, ambaye pia atatawazwa kuwa Bingwa mpya wa Universal...
View ArticleNne Zaingia Hatua ya Tatu Guinness Football Challenge Wiki Hii
Nne Zaingia Hatua ya Tatu Guinness Football Challenge Wiki HiiTimu ya bluu-Tanzania: Mohamed Kobembe na Gullam Sosha wenye umri wa miaka 23 kutoka Dar es Salaam watashirikiana kuona kama wataweza...
View ArticleWaamuzi Kutoka Comoro Kuchezesha Mechi ya Azam
Nembo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi watakaochezesha mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho kati ya Azam na Barrack Young...
View ArticleListen to Ngoma Africa Band Music 2013
Listen to Ngoma Africa Band music 2013 Ladies and Gentlemen You’r busy.You haven’t got time to listen to every note of every song that comes across your desk.That why we’ve made it easy for you to...
View ArticleTimu ya Pili Kutoka Kenya Yatinga Fainali za Pan-African
Washindi wa kipindi cha Tatu cha Guinness Football Challenge, Kenneth Kamau (kulia) na Wills Ogutu (kushoto) wote kutoka Nairobi Kenya, katika picha ya pamoja na watangazaji wa kipindi hicho Larry...
View ArticleMabondia Issa Omar na Shaban Madilu Kupima Uzito Jumamosi
Mabondia mikono juu! MABONDIA Issa Omar na Shaban Madilu ambao wanatarajia kucheza pambano lao la raundi 10 Ubingwa wa UBO International, wakisindikizwa na wakongwe wa masumbwi nchini Joseph Marwa...
View ArticleLeonard Thadeo Awataka Wanamichezo Kuacha Kulalama
Washiriki katika picha ya pamoja na Leonard Thadeo baada ya kumaliza mafunzo Na Genofeva Matemu – MAELEZO WADAU wa Michezo wameshauriwa kuacha tabia ya kulalamika mara kwa mara pale wanaposhindwa...
View Article