Mabondia Agbeko na Mendenez Kugombea Ubingwa wa Dunia
Mabondia Agbeko na Mendenez Kugombea Ubingwa wa Dunia KUNA hekaheka nyingi kwenye jiji la Accra, nchini Ghana wakati wa pambano la kugombea ubingwa wa dunia kati ya bondia marufu Joseph Agbeko kutoka...
View ArticleWaghana Kupanda Ulingoni Kugombea Mkanda wa IBF
Bondia Joseph Agbeko baada ya moja ya ushindi wake WAGHANA Frederick Lawson na Issac Sowah wanatarajia kupanda ulingoni Machi 8, 2013 kugombea mkanda wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na...
View ArticleMwamuzi wa FIFA Aondolewa Kuchezesha Ligi Kuu Bara
KOMBE LA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA Na Mwandishi Wetu MWAMUZI Msaidizi wa FIFA, Ferdinand Chacha ameondolewa kuchezesha mechi za VPL baada ya kupata alama za chini kwenye mechi kati ya African...
View ArticleIssah Samir na Philip Kotey Kupigania Ubingwa Middle Weight
Philip Koyey akibamizana makonde na bondia Kelly Brook owa Uingereza NCHI ya Ghana iko katika hekaheka na bashasha za mapambano kadhaa ya ngumi mwezi wa Machi 30 wakati ubingwa maarufu wa middle weight...
View ArticleBondia Albert Mensah Kupata ‘Wakati’ Mgumu
FIFA Yatuma Marekebisho 10 ya Katiba kwa Wanachama Wake BONDIA wa IBF aliye na kiwango cha namba 11 duniani katika uzito Jr. Welter, Albert Mensah wa Ghana atakuwa kwenye wakati mgumu atakapombana na...
View ArticleMpambano wa Ubingwa wa Ngumi WBF Kufanyika Mkwakwani Tanga
Bondia Alan Kamote PAMBANO la masumbwi kutetea mkanda wa mabara wa WBF (World Boxing Forum) unategemea kufanyika katika uwanja wa mkwakwani jijini Tanga kwa kuwakutanisha mabondia, Alan Kamote, ambae...
View ArticleTFF Yaomba Kukutana na Waziri Dk Mukangara
Leodger Tenga SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema ipo haja kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kufikiria upya uamuzi wake wa kutengua usajili wa...
View ArticleWanariadha wa Kenya Wafanya Kweli Kilimanjaro Marathon
Mmoja wa wanariadha kutoka nchini Kenya waliofanya vizuri katika Kilimanjaro Marathon 2013’ Na Mroki Mroki-Father Kidevu Blog-Moshi Wanariadha kutoka Nchini Kenya wameendeleza Umwambawao katika...
View ArticleBondia Japhert Kaseba Amchapa Maneno Osward
Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa taifa Kaseba alishinda kwa pointi. Picha na Burudan Blog)Bondia...
View ArticleTFF Yaipongeza AZAM FC Kusoma Mbele
Baadhi ya wachezaji wa Azam FC SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatoa pongezi kwa timu ya Azam ya Tanzania Bara kwa kufanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho iliyo...
View ArticleMabingwa wa Michezo Tofauti Kuzipiga Tanga
Mchezo wa Kickboxing ukichezwa BINGWA wa Kickboxing, Hamis Mwakinyo atazipiga na Bingwa wa Taifa wa Ngumi za Kulipwa nchini uzito wa ‘light weight kg 60′, Said Mundi wa Tanga katika pambano la raundi...
View ArticleTFF Yawasilisha Ombi la Kukutana na Waziri wa Michezo
Dk Fenella Mukangara,Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewasilisha rasmi maombi ya kuonana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,...
View ArticleTambo Zaendelea Mpambano wa Ngumi Ubingwa wa Afrika
Tambo Zaendelea Mpambano wa Ngumi Ubingwa wa Afrika MABONDIA wawili wanaotarajia kuzipiga Machi 8, 2013 kugombea ubingwa wa Afrika katika uzito wa Lightweight, Richard Commey na Bilal Muhammed...
View ArticleMiss Utalii Vipaji Ndani Dar Live
Miss Utalii Vipaji Ndani Dar Live SHINDANO la Taifa la Miss Utalii Vipaji 2012/13 linafanyika kesho katika ukumbi wa Dar Live Mbagala, ambapo Warembo 40 kutoka Tanzania Bara, Zanzibar na Kanda Maalum...
View ArticleYanga na Toto Kuumana Leo
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga MICHUANO ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea Machi 9 mwaka huu kwa mechi mbili ambapo vinara Yanga watakuwa wenyeji wa Toto Africans...
View ArticleMikakati ya Maendeleo ya Mpira wa Miguu Wanawake 2013
Twiga-Stars Mikakati ya Maendeleo ya Mpira wa Miguu Wanawake 2013 Utangulizi: AWALI ya yote napenda kuchukua nafasi hii kwa niaba ya kamati ya utendaji ya TWFA kuwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu kwa...
View ArticleEbrahim Makunja: The Leader of Ngoma Africa Band
Kamanda akiwa ofisini kwake Alafia Festival, Hamburg, Germany. THE Tanzania brandfire musician, bandleader and founder of most famous “Ngoma Africa band, Base in Germany, Ebrahim Makunja also commonly...
View ArticleManyara Yashinda Tuzo ya Vipaji Miss Utalii 2013
Mshindi wa Miss Utalii Vipaji kutoka Mkoa wa Manyara wa kati kati akiwa na washindi wenzake wawili waliofika mpaka Tatu bora HATIMAYE Mshiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 kupitia Mkoa wa Manyara...
View ArticleRais Kikwete Ashiriki Msiba wa Yanga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Yanga Lawrence Mwalusako katika mazishi ya mchezaji mkongwe wa Yanga na baadaye Kocha wa Pan Africa Marehemu Athumani Kilambo leo Machi 11,...
View ArticleWashiriki Miss Utalii 2012/13 Watembelea Chuo Kikuu cha Uandishi
Mratibu wa Masoko wa Chuo kikuu cha Waandishi wa Habari na Mawasiliano Bi Sophia Akizungumza Jambo na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13. WASHIRIKI wa Shindano la Miss Utalii 2012/13 wametakiwa...
View Article