Tamasha la 20, ZIFF Kutoka Kivingine
Mkurugenzi wa ZIFF, Daniel Nyalusi (kulia) akizungumza katika mkutano na wadau wa Tamasha la ZIFF pamoja na wanahabari (hawapo pichani). Katikati ni Thabiti Kombo Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF na...
View ArticleWASHIRIKI SHINDANO LA BONGO STYLE WAPEWA SEMINA…!
Baadhi ya washiriki wa shindano la Bongo Style 2017, wakiwemo wapiga picha,waandishi wa miswada ya Filamu na wabunifu wa mitindo upande wa mavazi wakiwa wanafanya zoezi waliopewa na mwezeshaji Bw....
View ArticleRais mstaafu Kikwete azindua Tamasha la ZIFF 2017 Zanzibar, Atunukiwa tuzo
Rais mstaafu Dkt. Kikwete akiselebuka pamoka na Mkurugenzi wa ZIFF, Fabrizo Colombo pamoja na kikundi cha Mwandege wakati wa tukio hilo la ufunguzi wa tamasha la ZIFF la 20. RAIS Mstaafu wa awamu ya...
View ArticleNMB yadhamini mashindano ya Golf Gymkhana Dar
Meneja Mahusiano ya Wateja wa NMB, Gibson Mlaseko akimkabidhi tuzo ya ushindi wa mchezo wa Golf, Samwel Mosha katika michuano ya mchezo huo maalumu kwaajili ya kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa...
View ArticleKongamano la Raha za Pwani Lavutia Wengi Maryland, USA
Msanii wa Bongo flava mfalme wa miduara AT akichengua mashabiki wake kwa wimbo mmoja wapo wa mduara kwenye kwenye jopo la kongamano la raha za pwani lililofanyika College Park, Marylan kwa lengo la...
View ArticleMatukio Tamasha la Castle Lite Unlocks, Leaders
Msanii Diamond Platinumz akiwa kwenye Tamasha kubwa la Castle Lite Unlocks viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam., akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo. Msanii Vanessa Mdee akiwa...
View ArticleTANZANIA YASHIRIKI MASHINDANO YA ROBOTI MAREKANI
Tanzania iliwakilishwa na Timu ya wanafunzi saba katika Mashindano ya Ubunifu yajulikayao kama First Global Robotic Challenge yaliyofanyika jijini Washington D.C. Tarehe 16-18 Julai, 2017 Tanzania...
View ArticleMAOFISA UGANI WASIPEWE KAZI ZA WATENDAJI
Mshauri wa Jukwaa la Matumizi ya Bioteknolojia, Dk. Nicholaus Nyange akitoa mada kwa maofisa ugani kwenye mafunzo ya siku moja kwa maofisa hao yaliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia...
View ArticleWAFANYAKAZI NMB WASHIRIKI MASHINDANO YA MOTHLY MUG, GOFU
Mchezaji wa timu ya gofu ya NMB, George Kivaria ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Huduma Mbadala za Kibenki wa NMB akishiriki mashindano ya gofu ya Mothly Mug yanayoandaliwa na Klabu ya Gofu ya Lugalo....
View ArticleDk Mwakyembe aiahidi BFT kutatua kero ya eneo la Mafunzo
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akionyesha Jarida la Mpango Mkakati la Shirikisho la Masumbwi Tanzania (BFT) mara baada ya kufanya nao mazungumzo...
View ArticleJWTZ wapokea vifaa vya michezo kutoka NMB
Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja wadogo na Wakati wa NMB – Boma Raballa (kushoto) akimkabidhi vifaa mbalimbali vya michezo Mkurugenzi wa Michezo na Utimamu wa Mwili wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) –...
View ArticleMashabiki wa Simba Waadhimisha Simba Day Uwanja wa Taifa
Mashabiki na wapenzi ya Club ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam wakiwa maadhimisho ya ‘Simba Day’. Siku hiyo uadhimishwa Agosti 8 ya kila mwaka. Mashabiki wa Simba...
View ArticleHizi Hapa Sera za Fredrick Mwakalebela Mgombea Urais TFF
Fredrick Mwakalebela MGOMBEA Urais katika Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Fredrick Mwakalebela ametaja mambo kumi atakayo fanya katika kuinua mpira hapa nchini kama atapata ridhaa ya kuwa Rais...
View Article