TFF Yazinduwa Mpango wa Maendeleo 2013-2016
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodger Chilla Tenga SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezindua rasmi Mpango wa Maendeleo wa Mpira wa Miguu (Technical Development Plan-...
View Article‘FFU’ wa Ngoma Africa Band Watoka Kambini
Kamanda Ras Makunja aka Field-Marshal(FFU), wa Ngoma Africa Band aka FFU,katika gwanda za gwaride!FFU wakiwa na ‘mitutu’ yao INASEMEKANA kikosi kazi cha Ngoma Africa Band a.k.a FFU ughaibuni, a.k.a...
View ArticleZiara ya Rais wa IBF Katika Bara la Afrika
Ngowi akiwa amesimama na Mkurugenzi wa Masoko wa Shirika la Almasi la Botswana DEBTSWANA Bi. Lesedi Rakola katika mkutano huo. ZIARA ya Rais wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki...
View ArticleNani Kuibuka Mshindi Jumatano Hii Guinness Football Challenge
Timu nne zitakazochuana katika kipindi cha nne cha Guinness Football Challenge wiki hii. Kuanzia kushoto ni timu kutoka Kenya (wamevaa nyekundu), Tanzania (bluu), Uganda (kijani na nyeusi). JUMATANO...
View ArticleKambi ya Masumbwi Yahamia Chalinze
Refarii Ibrahimu Kamwe akimnyoosha mkono juu Amour Mzungu kuwa mshindi wa mpambano huo wa kirafiki dhidi ya Josefu Marwa DIWANI wa Kata ya Bwilingu Chalinze Bagamoyo,Ahmed Karama Nassar amesema yupo...
View ArticleSuperSport Afrika Kurusha Mechi Sita Ligi Kuu Tanzania
Super Sport logo KITUO cha televisheni cha SuperSport cha Afrika Kusini kitaonesha moja kwa moja mechi sita za Ligi Kuu ya Vodacom katika Super Week kati ya Aprili 11 na Mei 18 mwaka huu. Mechi hizo ni...
View ArticleTFF Yazipongeza Ashanti United, Mbeya City na Rhino Rangers Kuingia Ligi Kuu
TFF Yazipongeza Ashanti United, Mbeya City na Rhino Rangers Kuingia Ligi Kuu KAMATI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezipongeza timu za Ashanti United ya Dar es Salaam, Mbeya...
View ArticleTFF Yaiadhibu Yanga na Kocha wa Toto Africans
Rais wa TFF, Leodger TENGA KLABU ya Yanga na Kocha Msaidizi wa timu ya Toto Africans, Athuman Bilali wamepigwa faini ya sh. 500,000 kila mmoja kutokana na makosa mbalimbali katika mechi za Ligi Kuu ya...
View ArticleGuinness Football Challenge; Kenya Wazidi Kufanya Vema
Washindi wa kipindi cha Nne cha Guinness Football Challenge, EnphatusNyambura(kushoto) na Samuel Papana (kulia) katika picha ya pamoja nawatangazaji wa kipindi hicho Larry Asego and Flavia Tumsiime...
View ArticleKing Kapita Atoa Video ya ‘Kunatatizo Kwani’
Msanii KingKapita MSANII King Kapita amebainisha kuwa tayari ametoa video ya nyimbo yake mpya inayojulikana kwa jina la “KUNATATIZO KWANI”. Nyimbo hiyo ambayo aliifanya na msanii GODZILLA kutoka ya...
View ArticleMazoezi ya Mabondia Kambi ya Ilala Kuelekea Mpambano wa Mei Mosi
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kulia akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Ally Masaga wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es Salaam Class anajiandaa na...
View ArticleSuperSport Yashindwa Kurusha Mechi 5 za Ligi Kuu
Super Sport logo MECHI tano kati ya sita za Super Week za Ligi Kuu ya Vodacom zilizokuwa zioneshwe moja kwa moja (live) na Kituo cha televisheni cha SuperSport cha Afrika Kusini sasa hazitaoneshwa...
View ArticleWakenya Wazidi Kung’ara Guinness Football Challenge
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya Guinness Football Challenge, wakiwa katika picha ya pamoja na mastaa wa mchezo wa mpira wa miguu na mabalozi wa Guinness Football Challenge. APRILI 10, 2013, Dar es...
View ArticleTimu Nne Mpya Kuingia Hatua ya Mwisho Mashindano ya Guinness Football Challenge
Timu nne zitakazochuana katika kipindi cha tano cha Guinness Football Challenge wiki hii. Kutoka kushoto ni timu kutoka Kenya(wamevaa nyekundu), Tanzania – bluu, Uganda- kijani na nyeusi. JUMATANO...
View ArticleMabondia Ghana Kuwasha ‘Moto’ Mei 3
Albert Mensah (kulia) NCHI ya Ghana ambayo ni moja ya nchi zenye vipaji vingi vya wanamichezo mahiri na majina makubwa hususan mchezo wa ngumi, itawaka moto Mei 3, 2013 wakati mabondia mahiri sita...
View ArticleMechi ya Azam, Simba Yaingiza Mil. 66/-, Yanga na Oljoro Mil. 63/-
Simba Sports Club MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Azam na Simba iliyochezwa Aprili 14 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 66,855,000 kutokana na watazamaji 11,458. Viingilio...
View ArticleJerry Silaa Ashiriki Bonanza la Stakishari Veterans
Mgeni rasmi, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akikabidhi jezi na mipira kwa baadhi ya timu 17 zilizoshiriki katika Bonanza la Stakishari Veterans. Picha juu na chini ni Mgeni rasmi,...
View ArticleBi. Kidude Afariki Dunia, Wajua Historia Yake?
Msanii maarufu na nguli nchini Tanzania Bara na Visiwani, Fatuma binti Baraka au maarufu kwa jina la Bi. Kidude Na Mwandishi Wetu, TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba msanii maarufu na nguli...
View ArticleOnesmo Ngowi Kuongoza Ujumbe Mzito Mkutano wa Shirikisho la Ngumi Kimataifa,...
Onesmo Ngowi MTANZANIA, Onesmo Ngowi ambaye ni Rais wa Shirikisho la Ngumi la Kimataifa Bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati, ataongoza ujumbe mzito kutoka Bara la Afrika na Ghuba ya...
View ArticleMashindano ya Ngumi Klabu Bingwa Mkoa wa Temeke Yaendelea Bila Udhamini
Bondia Athumani Yanga wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala akioneshwa mkono juu baada ya kumpiga Yusuph Saidi wa Kokoto wakati wa mashindano ya Klabu bingwa ya wilaya ya temeke yaliyoanza jana Yanga...
View Article